Vijana wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Small wakielekea kwenye Makaburi ya Segerea Jioni Hii.
Mwili wa Marehemu Mzee Small ukitolewa kwenye jeneza tayari kupumzishwa katika Nyumba yake ya Milele katika makaburi ya Segerea.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Wanahabari wakitafuta taswira katika mazishi ya Mzee Small katika Makaburi ya Segerea
Post a Comment