toqeer toqeer Author
Title: DAVIDO HULIPWA $50,000 KWA KILA SHOW
Author: toqeer
Rating 5 of 5 Des:
Kwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000...
Kwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000 kwa show moja lakini sasa wasanii wanachukua hata zaidi ya milioni 5 kwa show ya ndani.
  Huko Nigeria watu wanaowekeza kwenye muziki wameanza kuyaona matunda yao hivi sasa ambapo kaka yake Davido ambaye pia ni mmiliki wa label HKN record akiwa na Davido ameweka wazi kuwa Davido huingiza $50,000 (zaidi ya Milioni 84) kwa show moja anayofanya.
Anasema aliwekeza kiasi cha $50,000 katika label hiyo awali na sasa Davido anapiga kiasi hicho kwa show moja tu.
16 Jun 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top