toqeer toqeer Author
Title: Gabrielle Union afunga ndoa na Dwayane Wade
Author: toqeer
Rating 5 of 5 Des:
Muigizaji wa kike wa Hollywood, Gabrielle Union alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, star wa NBA Dwayane Wade. Wawi...

Picha: Gabrielle Union afunga ndoa na Dwayane Wade
Muigizaji wa kike wa Hollywood, Gabrielle Union alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, star wa NBA Dwayane Wade.
Wawili hao walifunga ndoa Jumamosi, August 30, Miami na kufanya sherehe iliyowahusisha wageni wachache ambao walisaini makubalino ya kutoingia na simu ili kuhakikisha hakuna atakaepiga picha bila ruhusa.
Dwayne Wade mwenye umri wa miaka 32 ana watoto wawili wa kiume aliwapata katika ndoa yake ya awali.
Naye Gabrielle Union aliwahi kuolewa na mwanaume mwingine lakini hana mtoto.
Eneo walilofungia ndoa: 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top