toqeer toqeer Author
Title: BOOTYLICIOUS VERA SIDIKA ARUDI SHULE
Author: toqeer
Rating 5 of 5 Des:
Bootylious anayeongoza kwa mgongo hapa Afrika Mashairiki, Vera Sidika aka Vee ameamua kurudi shule baada ya kukacha mwaka mmoja bila kusom...
Bootylious anayeongoza kwa mgongo hapa Afrika Mashairiki, Vera Sidika aka Vee ameamua kurudi shule baada ya kukacha mwaka mmoja bila kusoma, Vee ni video vixen katika ngoma kama P Unit ‘You Gay’ na CMB Prezzo ‘My Gal’, aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa anarudi shule ili kumalizia kile anachosemea katika chuo cha Kenyatta nchini Kenya baada ya ku-make mkwanja kupitia umbo lake matata. 
“The 1 year gap I took off school. . Time is up I must get this degree.
Back to school.
Staying focused
Happy new month sweethearts”

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top