mkuu wa mkoa wa Arusha magessa mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya sido
baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido
mkurugenzi wa Taha Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwaa na shanga zilizopo katika viwanja vya makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo
wahazabe wakiendelea kutengenez mikuki yao
Post a Comment