Wanamuziki wa Bendi ya Sauti Sol kutoka nchini Kenya likiwasha moto kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa kuamkia leo visiwani Zanzibar. Pichani ni Bien Baraza (vocalist) na Willis Austin Chimano (vocalist) wakifanya yao jukwaani.
Mpiga kinanda wa bendi ya Sauti Sol akifanya yake jukwaani.
Delvine Mudigi (vocals percussion & drums) akichapa drum kwa staili ya aina yake kwa wapenzi wa Live Music ndani ya ZIFF 2014.
Meneja wa Sauti Sol na mchumba wake wakifurahia kazi ya vijana wao ndani ya ZIFF 2014.
Delvine Mudigi (vocals percussion & drums) wa Sauti Sol akiwapa raha wapenzi wa ZIFF 2014….Wadada walichizikaje sasa na ilende hivi ...Nakuomba Baby Unishike (Nishike)….Unishike Mpenzi (Nishike)…Unishike (Nishike)…No No No No No No No No (Nishike)…Until You Say aaaaaaaaai…Until You Say aaaaaaaaai.
Proud of my boys….!The manager him self….Sauti Sol Manager.
Warembo wakijianda kuosherehesha jukwaa na bendi ya Sauti Sol.
Willis Austin Chimano akiwatambulisha warembo kwa mashabiki kabla ya kuonyesha ufundi wao.
Mwanadada akichizika jukwaani.
Mtasha nae akasema hata mimi naweza nimejaaliwa kidogo…Mashalaah..!
Twende sasa….mpaka chini ……!
Ooooooiiiiii Oooooiii mzuka mzuka…..! Mashabiki wakichiziki kwa kelele na miruzi ndani ya tamasha la ZIFF 2014.
Raia wa kigeni wakichizika na burudani ya bendi ya Sauti Sol ndani ya viunga vya Ngome Kongwe kwenye ukumbi wa Mambo Club.
Mpiga kinanda wa Bendi ya Sauti Sol akifanya yake.
Twende kazi…sasa…halali mtu hapa!
Warembo na swaggaz…!!
Ikifika ule wakati wa Ukodak na mashabiki waliohudhuria tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. Pichani ni warembo wakipozi na Ukodak.
Model Khalid Balala akiwa kwenye ukodak na Miss Zanzibar.
Warembo wakipata Ukodak na wasanii wa Sauti Sol.
Wadau waliopata tenda ya kutoa huduma za vinywaji vya aina zote ndani ya viunga vya Ngome Kongwe ukumbi wa Mambo Club wakipozi kwa UKODAK. Kutoka kushoto ni Joyce Joseph, Lucy Charles (Madam Boss Lady) na Winiefrida Nkwera.
Edwin Fanuel a.k.a mtaalam wa Cocktail (katikati) Dida Shekha (kushoto) na Winiefrida Nkwera.
Post a Comment