toqeer toqeer Author
Title: NYUMBA YA BALOZI WA MSUMBIJI DAR ES SALAAM YAWAKA MOTO.
Author: toqeer
Rating 5 of 5 Des:
Habari zilizotufikia usiku huu ni kwamba nyumba ya balozi wa Msumbiji iliyoko maeneno ya Masaki inawaka moto sasa hivi Dar. Habari zinaende...
Habari zilizotufikia usiku huu ni kwamba nyumba ya balozi wa Msumbiji iliyoko maeneno ya Masaki inawaka moto sasa hivi Dar. Habari zinaendelea kutupasha kwamba fire wamefika lakini maji yalikuwa kidogo. 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top